Watu wa Uganda wafuraishwa na ushindi wa Daniel Kaluuya
Your browser doesn’t support HTML5
Ushindi wa hivi karibuni wa actor muingereza Daniel Kaluuya mwenye asili ya Uganda katika tuzo za Oscar kwenye kitengo cha Best Supporting Actor katika filamu ya Judas and the Black Messiah unastahili kusherehekewa.