Duru ya pili ya uchaguzi wa Tunisia umekuwa na ushindani mkali
Wagombea wawili wa kiti cha rais Tunisia Nabil Karoui (kushoto) na Kais Saied (Kulia) wakipiga kura
Mpiga kura atia kidole wino baada ya kupiga kura
Wapiga kura washiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Tunisia
Wanajeshi wanawake washika zamu nje ya kituo cha polisi
Mgombea kiti Kais Saied akipiga kura yake
Wanajeshi washika zamu nje ya kituo cha kupiga kura Tunis watu wakingia
Wapiga kura washiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Tunisia
Mgombea Nabil Karoui, mfanyabiashara apiga kura yak
Mpiga kura atumbukiza kura ndani ya sanduku la kura mjini Tunis