Zulia Jekundu Episode 247

Your browser doesn’t support HTML5

Tyler Perry, afunzindua studio, na sherehe zake kuhudhuriwa na mamia ya maselebreti. Nafasi ya bara la Afrika kuchukua tuzo ya International Feature katika tuzo za Oscar za ni nzuri, hii ni kutokana kuwakilishwa vyema. Pia tutaangazia makala maalumu ya waafirka waongoza filamu.