Makala maalumu ya thamani ya watoto wa kike

Your browser doesn’t support HTML5

Ndoa za utotoni ni tatizo ambalo linakumba sehemu nyingi duniani na kusababisha madhara makubwa katika maisha hasa ya wasichana ambao wanajikuta katika ndoa hizo bila idhini yao. VOA imeandaa makala maalum inayoitwa – thamani ya mtoto wa kike - Hii ni hadithi ya Mwanahamisi kutoka nchini Tanzania.