Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Julai 20, 2024 Local time: 12:14

UN yasema maisha magumu yanayomkabili mtoto wa kike yameongezeka duniani

Mradi wa Thamani ya Mtoto wa Kike — Picha za Wanawake 15 walioozeshwa wakiwa watoto wadogo sehemu mbalimbali duniani na moja nchini Tanzania ndiye aliyeweza kusalimika kwa kuwasiliana na polisi.
Mradi wa Thamani ya Mtoto wa Kike — Picha za Wanawake 15 walioozeshwa wakiwa watoto wadogo sehemu mbalimbali duniani na moja nchini Tanzania ndiye aliyeweza kusalimika kwa kuwasiliana na polisi.

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya mtoto wa kike mwaka 2020, katika kipindi ambacho kuna janga la Covid 19 na hali yauchumi imedorora na kuongeza zaidi changamoto kwa wasichana.

Siku ya Mtoto wa Kike Duniani : UN yasema magumu yanayomkabili yameongezeka
please wait

No media source currently available

0:00 0:24:39 0:00

Umoja wa Mataifa ambayo iliipitisha siku hii mwaka 2011 kuhamasisha haki za wasichana inasema maista magumu yanayowakabili wasichana yameongezeka kutokana na mzozo wa kiafya wa virusi vya corona katika nyanja za elimu, ndoa za mapema, manyanyaso majumbani na fursa za kiuchumi.

Inakadiriwa wanawake na wasichana milioni 435 ifikapo mwaka ujao wataishi kwa chini yad ola moja na senti 90 kwa siku.

XS
SM
MD
LG