Duniani Leo May 2nd, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Watanzania na Afrika mashariki wanaomboleza kifo cha muasisi wa vyombo binafsi vya habari Reginald Mengi afariki dunia baada ya kuugua kwa muda. Na Kansela wa Ugerumani Angela Merkerl ametembelea Niger akitokea Burkina Faso ambako alitoa msaada mkubwa kijeshi na kiuchumi ili kupambana na ugaidi.