Uchaguzi wa rais na magavana Comoros wagubikwa na ghasia

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea 12 wa kiti cha rais visiwani Comoros wanapinga njama za utawala wa Rais Azali Asoumaniza kuiba kura na kujitangaza mshindi.
Wagombea 12 wa kiti cha rais visiwani Comoros wanapinga njama za utawala wa Rais Azali Assoumaniza kuiba kura na kujitangaza mshindi. Wansema sanduku za kupiga kura zilifika katika ngome za upinzani zikiwa tayari zimejazwa vyeti vya kura vilivyomchagua Azali.