Wa-Algeria waandamana kupinga Bouteflika kugombea muhula wa tano
Waandamanaji wakiwarushia polisi mawe baada ya kufyetuliwa mabomu ya kutoa machozi
Maandamano kumpinga Rais Bouteflika waAlgeria kugombania mhula wa 5
Waandamanaji mjini Algiers wakimtaka Bouteflika asigombania mhula wa 5
Walgeria wakiandamana kupinga Rais Bouteflika kugombania tena kwa mhula wa 5
Wanafunzi wakipambana na polisi wa kupambana na ghasia Algiers
Walgeria wapinga Rais Bouteflika kugombania mhula wa 5 wakiwa Marseille Ufaransa
Polisi wakiwazuia wanafunzi katika chuo kikuu cha Algiers kumpinga Bouteflika kugombania mhula wa 5
Polisi wakijaribu kuwatawanya waandamanaji mjini Algiers
Polisi na muandamanaji wamsaidia muandamanaji aliyeangukamjini Algiers
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika, akiwa kwenye kiti cha mgonjwa mjini Algiers, Novemba 23 2017.