Kongamano la 49 la Kibiashara laendelea Switzerland

Your browser doesn’t support HTML5

Kongamano la uchumi duniani laendelea huko mjini Davos, wakati viongozi wakihimiza mikataba ya kibiashara iimarishwe. Pia athari za mvutano kati ya China na Marekani zajadiliwa...