Watu15 wauwa katika shambulio la Riverside Nairobi

Maafisa wa usalama wa Kenya wakiwasaidia watu kukimbia baada ya mlipuko wa bomu ndani ya hoteli ya DusitD2 mjini Nairobi, Kenya, hapo January 15, 2019.

Moto ulowaka baada ya bomu kulipuka kwenye mlango mkuu wa kuingia katika majengo yaliyoshambuliwa Riverside Drive Nairobi.

Ramani ya mahala hoteli ya  Dusit, D2 inapatikana jijin Nairobi Kenya

Watu wakisaidia na maafisa wa usalama wa Kenya kukimbia majengo yaliyoshambuliwa na magaidi Nairobi Jumanne Januari 15, 2019.

Watu wakisaidiwa na maafisa wa usalama kutoka majengo ya Riverside Drive Nairobi

Mwanamke anaejaribu kukimbia akitupa kwanza mkoba wake kabla ya kupita dirishani.

Watu wakimbia kujtoka hoteli ya Dusis mjini Nairobi baada ya shambulio la kigaidi,ambalo kundi la Al-Shabab linadai kuhusika.

Cars are seen on fire at the scene of explosions and gunshots in Nairobi, Kenya January 15, 2019.

Waokozi na waandishi habari wamsaidia mtu aliyejeruhiwa kutoka hoteli ya Dusit Nairobi, Kenya, Jan. 15, 2019.