Mkutano wa G20 waanza na kwa kupingwa

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya watu wamekusanyika katika uwanja mkubwa wa michezo huo Buenos Aires , kupinga mkutano wa nchi tajiri duniani ambao unafanyika nchini Argentina