Teknolojia mpya ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuwalinda wanyama walio hatarini

Your browser doesn’t support HTML5

Teknolojia mpya ambayo imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya kuwalinda wanyama walio hatarini kutoweka, imefika katika higafhi ya Grumeti nchini Tanzania ambayo iko jirani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti