" Queen of Soul" Aretha Franklin" Afariki

Aretha Franklin anaimba wakati wa sherehe za kuapishwa Rais-muteule Barack Obama huko Washington, Januari.20, 2009

Katika Maonyesho ya Maandhimisho ya miaka 25 ya Elton John AIDS Foundation, Nov. 7, 2017, New York.

Muimbaji  Luciano Pavarotti akiwa pamoja na Aretha Franklin katika chakula cha usiku kilicho andaliwa kwa ajili ya kutunisha mfuko wa kikundi cha kuwasaidia wanamuziki ( MusicCare ) huko New York Februari 23.
 

Mwanamuziki Aretha Franklin akicheza katika ukumbi wa Radio City Music Hall wakati wa hafla ya  "Clive Davis" iliyofanyika mjini New York, 2017.
 

Rais Barack Obama Akimsindikiliza mwanamuziki Aretha Franklin baada ya picha yake kuzinduliwa na ghafla  Mwanasheria Mkuu Eric Holder ajitokeza kumlaki kwa taadhima katika tukio lililofanyika Idara ya Sheria, Washington, Feb. 27, 2015.

Mwimbaji wa Soul Aretha Franklin akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, Machi 26,1973.


 

Aretha Franklin holds her award for lifetime achievement backstage at the 36th Annual Grammy Awards ceremonies at New York's Radio City Music Hall, March 1, 1994.

Mwanamuziki Aretha Franklin akimsikiliza mtunzi Morton Gould, wakati mwigizaji Kirk Douglas akiangalia pembeni baada ya chakula cha usiku kilichoandaliwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jumamosi, Disemba 3, 1994.

FILE - Aretha Franklin performs during the commemoration of the Elton John AIDS Foundation 25th year fall gala at the Cathedral of St. John the Divine in New York City, in New York, Nov. 7, 2017.

Rais Bush akimvisha nishani mwimbaji Aretha Franklin, ikiwa ni medali ya uhuru, huko White House, Novemba 9, 2005.




 

Aretha Franklin akihudhuria chakula cha usiku katika hafla ya jumuiya ya waandishi wa habari wanaoripoti matukio ya White House, Washington Hilton, mjini Washington, Aprili 30, 2016.

Herbie Hancock na Aretha Franklin, wakitumbuiza katika maonyesho ya siku ya Jazz ya kimataifa, White House, Washington, Aprili 29, 2016.

Aretha Franklin, mwana muziki wa Marekani, amefariki Alhamisi asubuhi baada kupigana na maradhi ya saratani kwa miaka mingi. Franklin amefariki akiwa na umri wa 76.