Maisha katika barabara kuu kati ya Pemba na Palma Msumbiji
Mtaa wenye harakati nyingi katika barabara inayoelekea eneo la Palma kaskazini mwa Msumbiji
Duka lilioko katika barabara inayoelekea Palma, Msumbiji
Wanawake wakihamisha nyasi katika barabara ya Palm
Mti wa mbuyu ulioko katika barabara inayotokea mji wa Pemba kuelekea Palma, Msumbiji
Watoto wakitembea katika barabara inayoelekea Palma, kaskazini mwa Msumbiji wakirejea nyumbani
Biashara inayofanyika katika barabara inayoelekea Palma, kaskazini ya Msumbiji
Malori yanayotumika kusafirishia abiria katika barabara inayoelekea Palma
Wasichana wakisubiri usafiri katika mji wa Pemba, Msumbiji
Biashara ya mkaa katika barabara inayoelekea Palma, Msumbiji
Shughuli za biashara zinazofanyika katika barabara inayoelekea Palma, Msumbiji
Katikati ya mji wa Pembam, Msumbiji
Kijiji kilichopo katika barabara inayoelekea Palma, kaskazini mwa Msumbiji