Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani  Rex Tillerson, (katikati) akiwa na mkuu wake wa utawala Margaret Peterlin (Kushoto), akikutana na Waziri Mkuu wa ethopia Hailemariam Desalegn mjini Addis Ababa, Ethiopia, March 8, 2018.

Rais Idriss Deby wa Chad akimkaribisha waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rex Tillerson Ikulu mjini N'Djamena, Chad, March 12, 2018.

Rais Muhammadou Buhari wa Nigeria akimkaribisha Rex Tillerson

Rex Tillerson akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Ndjamena Chad

Rex Tillerson, kulia akitembea na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,ndani ya ikulu Nairobi, Kenya, March 9, 2018.

Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti akizungumza na wazir Tillerson, katika ikulu ya Djibouti. 

Le secrétaire d'Etat américain Rex Tillerson (L) serre la main après une conférence de presse avec le ministre tchadien des Affaires étrangères, Mahamat Zene Cherif (R), à N'Djamena, au Tchad, le 12 mars 2018.

Tillerson Meets Buhari

U.S. Secretary of State Rex Tillerson, left, and Kenyan President Uhuru Kenyatta pose for photographers after meeting at the State House in Nairobi, March 9, 2018.

U.S. Secretary of State Rex Tillerson speaks to survivors after laying a wreath during a ceremony at Memorial Park in honor of the victims of the deadly 1998 U.S. Embassy bombing, in Nairobi, Kenya, March 11, 2018.

Rex Tillerson atembelea maabara ya utafiti ya  idara ya wanyamapori ya Kenya inayofadhiliwa na Marekani, March 11. (N. Ching/VOA)