Rais Uhuru Kenyatta akula kiapu kwa mhula wa pili

Rais Uhuru Kenyatta akiwapungua wananchi alipowasili Kasarani kula kiapu

Rais Uhuru Kenyatta akionesha hati ya kuchukua madaraka kwa awamu ya pili

Rais Uhuru Kenyatta akipongezwa na Jaji Mkuu David Maraga baada ya kuapishwa Nairobi

Uhuru Kenyatta akimaliza kukagua gwaride kabla ya kula kiapu kiwanjani Kasarani Nairobi.

Wananchi wakifurahia kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kwenye uwanja wa Kasarani, Nairobi

Rais Uhuru Kenyatta akila kiapu mbele ya umati wa watu kwenye uwanja wa Kasarani Nairobi

Wanajeshi wa Kenya wajitayarisha kuingia uwanjani Kasarani kwa sherehe za kuapishwa Kenyatta