Wapiga kura wachache wajitokeza katika uchaguzi wa marudio Kenya

Maafisa wafunga sanduku ya kuweka kura mjini Bamburi, Kenya, Oct 26, 2017

Maafisa wa usalama nje ya kituo cha Kinyanjui Nairobi bila ya wapiga kura

wapiga kura wachache wajitokeaza kwenye kituo cha kupiga kura Bamburi, Kenya )ct, 26 2017

Mpiga kura akihakikisha kitambulisho chake Bamburi, Mombasa Oct 26, 2017

Kenya: Afisa wa uchaguzi akagua kitambulisho cha mpiga kura

Maafisa wa uchaguzi wakagua daftaryi ya wapiga kura

Mkuu wa kituo cha kupiga kura aonesha sanduku tupu ya kuweka kura

Mpiga kura mmoja akipiga kura yake katika kituo cha Kinyanjui Nairobi

Wapiga kura wasubiri kupiga kura zao katika shule ya Kinyanjui, Nairobi Kenya