Jeshi la Congo lajaribu kuwaondowa waasi wa Mai Mai kutoka msitu wa Virunga

wanajeshi wa FRDC watayarisha kufyetua mzinga kuelekea kambi ya waasi Virunga

Afisa wa mawasiliano wa jeshi la Congo kwenye uwanja wa mapambano msitu wa Virunga

Maafisa wa jeshi la Congo wakizungumza na raia wa Nyamilima

wanajeshi wa FRDC kwenye mstari wa mbele katika vita dhidi ya Mai Mai

Wanajeshi wa DRC wateketeza kambi za wapiganaji wa Mai Mai

Mwanajeshi wa Congo akibeba mzinga msitu wa Virunga

Wanajeshi wa FRDC wakiwa katika kambi yao wakati wa mapigano na Mai Mai msitu wa Virunga

Wanajeshi wa FRDC wakiangalia upande wa pili wa msitu wa Virunga wakipambana na wanamgambo wa Mai Mai