Maonesho ya biashara ya waislamu wa Amerika Kaskazini wakati wa kongamano la ICNA
Asasi za kislamu kusaidia wakimbizi
Guidance benki ya kislamu inayotoa mikopo ya kununua nyumba
Vitabu vya watoto vikiuzwa wakati wa maonesho ya ICNA
Asasi za kislamu za huduma za dharura
Village to Village asasi inayosaidia vijiji vya Rwanda na Pakistan
Muuza asali akiwaeleza wateja aina mbali mbali za asali