Harakati za kuwahamasisha wapiga kura kujiandikisha Kenya

Rais Uhuru Kenyatta atembelea kituo cha kuandikisha wapiga kura mjini Embu

Wakuu wa upinzani CORD wakiwahamasisha wapiga kura Mombasa

Uhuru Kenyatta akiwahamasisha wakazi wa Embu kwenda kujiandikisha

Viongozi wa CORD wakiwahamasisha wapiga kura kujiandikisha Mombasa

Kiongozi wa Cord Odinga pamoja na gavana Kidero wa Nairobi wakianza kampeni ya kuwaandikisha watu

Maafisa wa IEBC wakikagua kitambulisho cha mpigaji kura katika viunga vya Kibera Kenya

Maafisa wa IEBC akichukua kidole cha mpigaji kura akimuandikisha katika viunga vya Kibera Kenya