Hasara baada ya kimbunge Matthew huko Haiti na Marekani
Maelfu na maelfu ya nyumba zimeharibiwa na mafuriko kutokana na kimbunga Matthew, Lumberton, North Carolina October 10, 2016
Maji ya mafuriko kutoka mto Tar Riveryamefunika njia yote katika mji wa Greenville, North Carolina, U.S., October 11, 2016.
Caitlyn Cain, kushoto, na rafiki yake Sidney Daniels wakitizama hasara kutokana na mafurikoyanayotokana na kimbunga Matthew karibu na nyumbani kwake Cain, Oct. 12, 2016, huko Greenville, N.C.
Polisi wa Umoja wa Mataifa kutoka Bangladesh wakitoa maji ya kunywa kwa wakazi wa kijiji cha Sous-Roche, karibu na mji wa Les Cayes, Haiti, Oct. 11, 2016.
Magari yaliyozama karibu na ofisi za biashara huko Lumberton, N.C., Oct. 12, 2016.
Mfanyakazi wa shirika la umeme akifanya ukaguzi baada ya kimbunga Matthwe kupita mjini Lumberton, North Carolina, Oct. 11, 2016.
Wakazi wasimama wakisubiri ugavi wa chakula baada ya kimbunga Matthew huko Anse D'Hainault, Haiti, Oct. 11, 2016.