Mkutano wa chama cha Demokratik wafunguliwa Philadelphia

Mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama, akishangiliwa alipowasili kuhutubia mkutano mkuu wa chama mjini Philadelphia.

Wafuasi wa Bernie Sanders wakiwa ndani ya ukumbi wa mkutano mkuu wa Demokratik

Mmoja kati ya wasemaji katika mkutano mkuu wa Demokratik

Ukumbi wa mkutano mkuu wa chama cha Demokratik

Bernie Sanders akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa chama cha Demokratic

Gavana wa Connecticut Dannel Malloy akizungumza katika  siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa chama cha Demokratik mjini Philadelphia, Julai 25, 2016.

Mjumbe wa California Gurjatinder Randhawa akiweka mkono kifuani wakati wa wimbo wa taifa kufungua mkutano mkuu mjini Philadelphia, Julai 25, 2016.

Sen. Cory Booker wa jimbo la New Jersey

Rais wa zamani Bill Clinton akipiga makofi baada ya hotuba ya  Michelle Obama kwenye mkutano mkuu wa Demokratik mjini Philadelphia, Julai 25, 2016.