Mkutano mkuu wa Republican wamalizika Cleveland

Mgombea kiti cha rais wa chama cha Republican  Donald Trump na familia yake waungana na mgombea mwenza wake Gavana wa Indiana Mike Pence pamoja na familia yake kwenye jukwa la mkutano mkuu wa chama cha Republican Cleveland, Ohio, U.S. July 21, 2016.

Mgombea kiti cha rais wa chama cha Republican  Donald Trump, akipiga makofi alipokua anahutubia mkutano mkuu wa chama cha Republican mjini Cleveland, Ohio, July 21, 2016.

Waandamanaji wanaopinga utumiaji nguvu unaofanywa na polisi wakiandamana katika mji wa Cleveland wakati wa mkutano mkuu wa chama cha Republican, Cleveland, Ohio, US, July 19, 2016.

Wauza T-shirt rasmi kwenye mkutano wa republican

Baadhi za kofia zinazovaliwa kutoa ujumbe

Wandamanaji hadi siku ya mwisho ya mkutano wa Republican

Vibanda vya kuuza makumbusha wakati ya mkutano wa waRepublican

Wajumbe wahudhuria kikao cha mwisho cha mkutano wa republican