Wataalam wa Utawala wa Kisheria na ulio bora duniani, Jumatano wameanza mkutano wa siku mbili jijini Dar es-Salaam kujadilia uboreshaji wa utawala katika mataifa barani Afrika.
Your browser doesn’t support HTML5
Tanzania
George Njogopa ameangazia mkutano huo ambao umetajwa kuwa wa kwanza wa aina yake nchini Tanzania. Sikiliza sauti kwa maelezo zaidi.