Kenya yahofia makundi ya kigaidi

Huenda kuchipuka kwa makundi ya kihalifu na kigaidi nchini Kenya kumewaweka maafisa wa polisi nchini humo katika hali ya tahadhari.
Mnamo siku ya Jumapili wiki iliyopita polisi mjini Mombasa nchini Kenya Walisimamisha mkutano ulioandaliwa na vuguvugu moja la viongozi wa kiislamu linalojiita Hizbut Tahirir kutokana na sababu za kiusalama.

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya Tahrir

Mwandishi wetu Salma Mohamed amefuatilia kwa undani kuhusu vuguvugu hilo na kuzungumza na viongozi wa kidini katika pwani ya Kenya kuhusu harakati za Vuguvugu hilo.