Wakimbizi wa Kinigeria katika kambi ya Dar Es Salam, Magharibi ya Chad

Mamia ya watoto ni miongoni mwa wakimbizi takriban 7000 wanaoishi kwenye kambi ya Dar Es Salam huko Baga-Sola Chad April  2 2016.

Wakimbizi wanaishi katika jangwa kukiwa na joto kali kwenye kambi ya Dar Es Salam huko Baga-Sola Chad.

Wakimbizi ndani ya hema ambayo ni makazi yao kwenye kambi ya Dar Es Salam huko Baga-Sola magharibi ya Chad.

Mwanamke huyu mkimbizi ana wasi wasi hajapata habari za mumewe kutoka Nigeria tangu akimbiye mwaka mmoja uliyopita na kuwasili huko, Baga-Sola, Chad.

Mamia ya watoto ni miongoni mwa wakimbizi takriban 7000 wanaoishi kwenye kambi ya Dar Es Salam huko Baga-Sola Chad April  2 2016.