Jimbo la Chin huko Mynmar laharibiwa na mvua.

Kijiji kipya kimejengwa kwenye ukanda wa mji mkuu ili kuhifadhi watu waliokoseshwa makazi.

Nyumba zimeharibiwa kwa kile ambacho watu wa ndani wanasema janga kubwa kutokea katika eneo hilo.

Maelfu ya watu wamekoseshwa makazi kwenye jimbo la Chin baada ya mvua kubwa kunyesha mwezi julai.

Barabara iliyoharibiwa imesababisha ugumu kusafirisha chakula kutumia magari makubwa na mafuta katika eneo.

Kijiji kipya kimejengwa kwenye ukanda wa mji mkuu kuhifadhi watu waliokoseshwa makazi.

Makazi mapya ya turubai yanatumika kuhifadhi watu walioharibiwa mali zao , au hawawezi kurejea kwenye nyumba zao kufuatia mmomonyoko wa udongo.

Makazi ya muda yanayoweza kuhifadhio hadi familia tano.

Makazi ya muda yanayoweza kuhifadhi hadi familia  watano.

makazi ya maturabi yanayotumika kuhifadhi watu ambao hawawezi kurejea tena kwenye nyumba zao.