China itaisaidia Afrika kwa dola bilioni 60

Rais Xi Jinping wa China (kuanzia kushoto) akipigwa picha pamoja na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe (2nd R) na rais nwa Afrika Kusini Jacob Zuma (C) wakati wa mkutano wa  China-Africa huko Sandton, Johannesburg, December 4, 2015

Rais Xi Jinping wa China  (kushoto) akisalimiana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe huku Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akitizama wakati wa Mkutano wa viongozi wa Afrika na China, huko Sandton, Johannesburg, December 4, 2015.

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais Xi Jinping wa China baada ya kukutana na waandishi habari katika jengo la serikali ya Afrika Kusini Union Building Pretoria, Dec. 2, 2015.

China Benin

China Africa Summit