Obama azungumza na Warundi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Barack Obama Atowa wito kwa Warundi kuacha kando ugomvi wao na kutafuta njia ya majadiliano na kuungana ili kuepusha ghasia zaidi.