Papa Francis atembelea Cuba

Papa Francis, kushoto, asimama karibu na Rais Raul Castro, alipomkaribisha baada ya kutuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jose Marti, Havana, Sept. 19, 2015.

Rais Raoul Castro kulia, awapungia mkono wananchi walojitokeza kumpokea Papa Francis kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Havana.

Papa Francis akaribishwa na Wacuba wakati akiwa njiani kutoka uwanja wa ndege wa Jose Marti kuelekea Nunciature mjini Havana, Jumamosi, Sept. 19, 2015.

Papa Francis awasili kwenye Uwanja wa Mapinduzi kuongoza Misa ya hadhara mjini Havana, Cuba, Jumapili, Sept. 20, 2015.

Papa Francis awasili kwenye Uwanja wa Mapinduzi kuongoza Misa ya hadhara mjini Havana, Cuba, Jumapili, Sept. 20, 2015.

Kuanzia kushoto, Mke wa rais wa Panama Lorena Castillo Garcia de Varela, Rais wa Cuba Raul Castro na Rais Cristina Fernandez de Kirchner wa Argentina wanamsubiri Paopa Francis kuwasili kwenye uwanja wa Mapinduzi ili kuongoza Misa mjin Havana, Sept. 20, 2015.

Papa Francis awasili kuongoza Misa kwenye uwanja maarufu wa Mapinduzi Havana, akipeana uso na sanamu ya shuja wa mapinduzi Ernesto "Che" Guevara na bendera ya Cuba iliyopambwa kwenye jengo la serikali, Sept. 20, 2015.

Papa Francis akisaidiwa kupanda kwenye jukwa la kuhubiri alipowasili kwenye Uwanja wa Mapinduizi

Papa Francvis akiomba dua wakati wa Misa kwenye Uwanja wa Mapinduzi, Havana

Maelfu ya waumini wahudhuria Misa inayoongozwa na Papa Francis kwenye Uwanja wa Mapinduzi Havana, Cuba, Sept. 20, 2015.

Papa Francis awasalimia waumini wa Kikatholiki baada ya kumaliza Misa yake ya kwanza akiwa ziarani Cuba, Sept. 20, 2015.

Papa Francis asalimiana na baba wa mapinduzi ya Cuba Fidel Castro shakes mjini Havana, Cuba, Jumapili, Sept. 20, 2015.