Wakenya mabingwa wa mashindano ya riada duniani 2015

Asbel Kiprop wa Kenya akinyakua ushindi katika mbiyo za mita 1500, huko Beijing 2015

Mkenya Eunice Jepkoech Sum, akisherehekea ushindi wake wa nafasi ya tatu katika mbiyo za mita 800

Almaz Ayana wa Ethopia akielekea kunyakua ushindi wa mita 5000

Mkenya Caleb Mwangangi Ndiku akisherehekea ushindi wake wa fedha nyuma ya Mohammed Farah

Mo Farah, kulia akidihaki na Caleb Mwangangi Ndiku wa Kenya waliposhinda mbiyo za mita 5000

Mo Farah akijipiga picha na mashabiki kwa simu ya mkono

Shelly-Ann Fraser wa Jamaica akipokea kijiti kumaliza mbio za 4x100

Usain Bolt wa Jamaica akiongoza timu yake kwa ushindi wa mbiyo za mita 4x100