Uchaguzi wa bunge wafanyika Burundi

Burundi; nje ya kituo cha kupiga kura

Burundi: Vifaa vya kupiga kura viko tayari kwa upigaji kura Bwiza

Burundi: wapiga kura wajipanga kuingia katika kituo cha kupiga kura Bwiza

Burundi: ndani ya kituo cha kupiga kura Bwinza

Burundi: Mpigaji kura aweka wino usofutika kwenye kidole

Bururndi: Wapiga kura wasimama tayari kuingia ndani ya kituo cha kupiga kura

Burundi Elections: Voters in Bwiza district

Burundi: Polisi wakagua mpigaji kura kabla ya kuingia katika kituo

Burundi: Maafisa wa uchaguzi wajitayarishi kwa upigaji kura katika wilaya ya Bwiza Bujumbura