Sherehe za kutia saini mkataba wa ushirikiano kati ya Marekani na Afrika Mashariki

Sherehe za kutia saini mkataba wa biashara kati ya Marekani na Afrika Mashariki

Mawaziri wa Afrika Mashariki na mwakilishi wa biashara wa Marekani watia saini mkataba wa biashara

Waziri wa Biashara wa Tanzania Abdallah Kigoda (kulia na Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta mjini Washington

Waziri wa Afrika Mashariki wa Tanzania Mwakyembe pamoja na mwakilishi wa biashara wa Marekani Froman

Waziri wa biashara na viwanda Rwanda Francois Kanimba (kulia) waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi

Waziri wa Afrika Mashariki wa Kenya Bi Phyllis Kipkingor Kandie atia saini makubaliano Washington