Awamu ya tatu ya michuano ya makundi CAN 2015

Uwanja mkubwa kabisa wa michezo Equatorial Guinea mjini Bata

Bia kinyaji kikubwa Equatortial Guinea ndio inauzwa kwa wingi kwenye uwanja wa mpira

Shabiki wa Burkinabe akiwa amepaka mwili wake wote rangio za bendera ya taifa Bata Jan 21 2015

Mashabiki wa Equatorial Guinea wamejaa furaha kupata goli la klwanza

Wachezaji wa Equatorial Guinea wajitayarisha uwanjani Bata

Nembo ya micnhuano ya CAN 2015 Equatortial Guinea, Chukchuk

Ovono keeper wa Equatorial Guinea adaka mpira na kuokoa timu yake mara nyingi dhidi ya Gabon

CAN: Mashabiki washerehekea goli la pili la Equatorial Guinea

Villagers gather as wildlife experts attend to an Indian elephant that washed up in a swamp after being caught up in raging floodwaters in Jamalpur district, some 150 kilometers (94 miles) north of Dhaka, Bangladesh.

Mashabiki wa B urkina Faso wakip[ewa uwongozi kabla ya mchuano wa timu yao

Kombe la Mataifa Afrika 2015, limeingia katika awamu ya mwisho ya makundi, tayari kwa robo finali