Jengo la poromoka mtaa wa Makongeni Nairobi

Waokozi watafuta waathiriwa wa jengo lil;iloporomoka Nairobi Disemba 17 2014

Waokozi wanawatafuta waathiriwa katika jengo lililoporomoka Nairobi

KItanda na kitanda katika sehemu ya jengo la Nairobi lililoporomoka

KENYA-BUILDING/

Mwanajeshi akijaribu kumokoa mtu aliyenasa katika vifusi vya jengo lililoporomoka Nairobi

Waokozi wamuondowa mtu aliyejeruhiwa kutokana na kuporomoka jengo katika mtaa wa Makongeni Nairobi