Maelfu ya watu wajitokeza kumwaga Profesa Ali Mazrui

Mwili wa Profesa Ali Mazrui ukipokelewa Nairobi na wakuu wa Mombasa

Viongozi wa Mombasa watoa dua mbele ya jeneza la Profesa Mazrui lilipowasili Mombasa

Mjane wa Profesa Mazrui Pauline Uti awasili kwenye uwanja wa ndege wa Moi Nairobi

Gavana Hassan Joho (kulia) pamoja na Kadhi mkuu na Mwanasheria Mkuu wasubiri kuwasili kwa mwili Profesa Ali Mazrui kwenye uwanja wa ndege wa Moi Mombasa.

Jeneza la Profesa Mazrui linapelekwa makaburini katika makaburi ya Kibokoni Mombasa

Maelfu ya watu washinikiza mwili wa Profesa Mazrui hadi kaburini kwa maziko Mombasa

Mwili wa Profesa Mazrui umefika kaburini safari ya mwisho kabla ya kuzikwa