Watetezi wa demokrasia wapambana na polisi Hong Kong
Waandamanaji wanaopinga kukaliwa kwa eneo la kati la Hong Kong wasimama nyuma na ukuta wa polisi kwenye barabara ya Nathan Road, mtaa wa biashara wa Mongkok, wakitaka hema zilizowekwa na watetezi wa dekomkrasia kuvunjwa. Oct. 3, 2014.
Mtetezi wa demokrasia aliyekati atoka damu mdomoni akishindikizwa na polisi baada ya kupigwa na wapinzani katika mtaa mkubwa wa biashawa wa Hong Kong wa Mongkok, ambako barabara kuuinadhibitiwa na watetezi wa demokrasia, Oct. 3, 2014.
Mtetezi wa demokrasia, kushoto, akibishana na mpinzani wa vuguvugu la Kukalia eneo la kati la Hong Kong, haonekani kwenye picha, huku akipigwa mateke na mpinzani mwengine katika mtaa wa biashara wa Hong Kong wa Mongkok, Oct. 3, 2014.
Mtetezi wa demokrasia akibururwa na polisi nje ya ofisi ya mtawala mkuu wa Hong Kong, Oct. 3, 2014.
A pro-democracy activist raises her hands to indicate her agreement to leave their protest area as local police hold back residents and pro-Beijing supporters in Kowloon's crowded Mong Kok district, Hong Kong, Oct. 3, 2014.
A local policeman scuffles with residents and pro-Beijing supporters as they try to attack a student pro-democracy activist in Mong Kok district, Oct. 3, 2014.
Wakazi na wanaoiunga mkono Bejing wanabomoa hema ya watetezi wa demokrasia katioka mtaa wa Mong Kok, Oct. 3, 2014.
Muungaji mono wa utawala wa Bejing awapigia makelele wanaharakati wa demokrasia katika mtaa wa Mong Kok, Oct. 3, 2014.
Wanafunzi wanaotetea demokasia waloanzisha maandamano wanajaribu kujadiliana na wakazi wenye hasira wanaojaribu kuondowa vizuwizi waloweka njiani kufunga njia za kuingia mtaa wa Causeway Bay, Hong Kong, Oct. 3, 2014.
Police remove a man who collapsed during confrontations between anti-Occupy Central protesters and pro-democracy protesters on a main street at Hong Kong's Mongkok shopping district, Oct. 3, 2014.
Police remove a pro-democracy protester from the area during confrontations between anti-Occupy Central protesters and pro-democracy protesters on a main street at Hong Kong's Mongkok shopping district, Oct. 3, 2014.
Pro-democracy activists surround and protect their tent as residents and pro-Beijing supporters threaten to tear it down in Mong Kok district, Oct. 3, 2014.
A pro-democracy protester, center, is grabbed by an anti-Occupy Central protester, right, at Hong Kong's shopping Mongkok district, where a main road is occupied, Oct. 3, 2014.
Waandamanaji watembea chin ya miyanvuli iliyopangwa na msanii née ya makao makuu ya serikali ya Hong Kong, Oct. 3, 2014.
Residents and pro-Beijing supporters surround a pro-democracy activist tent in Mong Kok district, Oct. 3, 2014.