Mkutano wa Mungano wa Cord kwenye uwanja wa Uhuru Park

Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wawapungia mkono wafuasi wao wakiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Park mjini Nairobi, July 7, 2014.

Kiongozi wa ODM, Orange Democratic Movement Raila Odinga akihutubia umati wa watu walokusanyika kwenye  Uhuru Park kuwasilisha malalamiko ya kuitisha mjadala wa Kitaifa Nairobi, July 7, 2014.

Supporters of Kenya's opposition Coalition for Reforms and Democracy arrive singing slogans at the venue for their "Saba Saba Day" rally demanding dialogue with the government, at the Uhuru park grounds in Nairobi, July 7, 2014.

Supporters of Kenya's opposition Coalition for Reforms and Democracy run along the streets before their "Saba Saba Day" rally demanding dialogue with the government, at the Uhuru park grounds in Nairobi, July 7, 2014.

Polisi wa kupambana na ghasia wapiga doria katiika barabara ya Nairobi baada ya kufyetua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa upinzani kabla ya kuanza mkutano wa " Siku ya Saba Saba " kwenye uwanja wa Uhuru park mjini Nairobi, July 7, 2014.

Mfuasi wa Mungano wa upinzani wa CORD ameumia kichwa wakati wa ghasia zilipozuka pale polisi walipopambana na wafuasi wa upinzani kabla ya mkutano wa  "Saba Saba" kwenye uwanja wa Uhuru park mjini Nairobi, July 7, 2014.