Maandamano dhidi ya mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala mashariki ya Congo
Wakazi wa mji wa Benni wakiandamana kulaani mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala, wanataka uchunguzi ufanyike kwani hawaamini ni waasi ndio walomua. Jan, 03 2013
Vikosi vya usalama wakiwazuia waandamanaji mjini Benni walokuwa wanadai uchunguzi wa kina katika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala
Wanawake wakiandamana Benni kulalamiika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala Jan, 03 2014
Waandamanaji katika njia kuu ya Beni kulaani mauwaji ya Kanali M. Ndala
Mwandamanaji akilalamika mjini Beni kulaani mauwaji ya Kanali M. Ndala
Colonel Mamadou Ndala akiongozana na wanajeshi wa Kongo kuwasaka wapiganaji wa AFD Nalu
Kanali Mamadou Ndala komanda wa kikosi maalum cha jeshi la Congo linalowasaka waasi mashariki mwa nchi
Rais Joseph Kabila pamoja na Gavana wa Kivu Kaskazini Julien Paluku mjini Goma
Wanajeshi wa FARDC wakiwa katika msitu wa Virunga wakisubiri katika kuwasaka wapiganaji wa AFDL Nalu
Ndege ya Drone ya Umoja wa Mataifa huko Mashariki ya Congo
Wanajeshi wa jeshi la taifa la Congo waelekea kutayarisha mpango wa kuwashambulia waasi wa AFDL Nalu