Soko kuu la Westgate mjini Nairobi lashambuliwa

Wanajeshi na polisi wenye silaha anawasaka washambuliaji wenye bunduki waloshambulia soko kuu la Westgate shopping centre mjini Nairobi Septemba 21, 2013.

Mwanamke aliyejeruhiwa akilia kuomba msaada pale washambuliaji walipovamia soko la Westgate shopping mall in Nairobi, Septemba 21, 2013.

Polisi mweye bunduki awatafuta wateja walojificha ndani ya choo huku akiwasaka washambulizi kwenye soko la Westgate shopping centre Nairobi, September 21, 2013.

Wahudumu wa kwanza wamsaidia mtu aliyejeruhiwa baada ya shambulio la bunduki katika soko laWestgate shopping centre, mjini Nairobi Septembea 21, 2013. 

Polisi wenye silaha wanawasaka washambuliaji wenye silaha ndani ya soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013. 

Watu wakimbia kujificha wakati polisi wanawasaka washambuliaji walovamia kwa bunduki soko la Westgate jijini Nairobi, Septemba 21, 2013. 

Polisi wajificha ili kujikinga kutokana na shambulio la bunduki katika soko la Westgate ambako washambuliaji wenye bunduki walishambulia na kuchukua baadhi ya wateja mateka mjini Nairobi Septemb 21, 2013.

Polisi aliyejeruhiwa akijishika mahala alipopigwa risasi huku mwenzake akimlinda na kuwasaka washambuliaji katika soko la Westgate mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.

Polisi wenye bunduki wanawatafuta washambuliaji wnye silaha ndani ya soko la Westgate wliloshambulia jumamosi mjini Nairobi, Septemba 21, 2013.

Mwili wa mtu aliyeuliwa nje ya soko kuu la Westgate Mall, lenye maduka ya kifahari mjini Nairobi, Kenya unaonekana siku ya jumamosi Sept. 21 2013, ambako kulitokea shambulio la bunduki na mripuko wa grunetti, kufuatana na polisi.

Голова бойовиків ДНР Захарченко біля "ЦВК"

Burkina Faso's military chief General Honore Traore

Polisi anajaribu kuhakikisha hakuna mshambuliaji katika eneo alofika baada ya shambulio ndani ya soko la Westgate Nairobi Sept. 20, 2013.

Maafisa wa usalama waloingia ndani ya soko la Westgate waoneshana mahala huwenda kuna washambulizi, ndani ya soko hilo walovamia siku ya jumamosi mjini Nairobi Sept. 21, 2013.

Watu wakimbia wakiinua mikono juu kutoka soko la Westgate Mall mjin  Nairobi Sept. 21, 2013.