Egypt's Morsi Removed From Power

Muhammad Morsi (File photo)

Adly Mansour wakati akiapishwa kama kaimu Rais wa Misri Cairo, Julai 4, 2013.

Kaimu Rais wa Misri Adly Mansour, kati, akiwa amesimama na majaji wakati wa sherehe za kuapishwa katika mahakama ya katiba mjini Cairo, Julai 4, 2013.

Ndege za jeshi la Misri zikipita juu ya anga ya Cairo wakati Adly Mansour akiapishwa kama Kaimu Rais.

Wananchi wanaompinga Morsi wakifurahia mitaani.

Wapinzani wa Morsi mbele ya jumba la rais mjini Cairo, July 3, 2013.

Fataki zikifyatuliwa katika anga huku wapinzani wa Morsi wakisherehekea.

Mfuasi wa Mohamed Morsiakiwa analia huku ameshika picha yake , Cairo, July 3, 2013.

Wafuasi wa Morsi wakionyesha hasira zao baada ya matamshi ya jeshi Cairo, July 3, 2013.

Wamisri wakisherehekea mjini Cairo, July 3, 2013.

Egyptian Defense Minister Abdelfatah al-Sissi delivering a statement as the army unveils a roadmap for Egypt's political future, July 3, 2013. (Egyptian TV photo)

Army soldiers take their positions in front of Morsi opponents, near the Republican Guard headquarters in Cairo, July 3, 2013.

Anti-President Mohamed Morsi protesters watch a speech by him on TV at a cafe in Tahrir Square in Cairo, July 2, 2013.