Afrika yawika katika riadha Olympiki

Tiki Gelana wa Ethopia akimaliza mbio za marathon wanawake akiwa mshindi na kujinyakulia dhahabu katika michezo ya Olympiki ya London, Aug. 5, 2012 in London.

Tiki Gelana wa ethopia akimaliza wa kwanza mbio za marathon

Olympics women 1500

Ethiopia's gold medal winner Tiki Gelana is flanked by Kenya's silver medal winner Priscah Jeptoo, left, and Russia's bronze medalist Tatyana Petrova Arkhipova during the ceremony for the women's marathon at the 2012 Summer Olympics in London, August 5, 2

Olympics steeplechase final kemboi

 Usain Bolt wa Jamaica akionesha kidole hewani kabla ya kuanza mbio za mita 100 London, August 4, 2012.

Usain Bolt wa Jamaica, kulia akishinda finali ya mbio za mita 100 na kuweka rikodi mpya ya Olimpiki katika micehzo ya London 2012, Jumapili, Aug. 5, 2012.

Olympics men 800 heats

Muafrika Kusini Oscar Pistorius, kushoto, na Mjamaica Rusheen McDonald wakimaliza mchugo wa mbio za mita  400 wakati wa micehzo ya riadha kwenye uwanja wa  Olympic Stadium, London, August 4, 2012.

Olympics Boxing DR Congo

Andy Murray wa Uingerezqa akisherekea ushindi wake baada ya kumshinda bingwa wa dunia wa mchezo wa tenis Roger Federer katika finali na kujinyakulia medali ya dhahabu.

Michael Phelps akionesha medali yake ya dhahabu katika uwogeleaji wa mita 100 mtindo wa kipepeo na kumfanya mchezaji aliyenyakua medali nyingi kabisa ya dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki, akinyakua jumla ya 18 . (AP Photo/Matt Slocum)