Mkutano juu ya Ukimwi Washington 2012

Mkutano wa 19 wa Kimataifa juu ya HIV/Ukimwi ulianza Washington, kwa wito wa kuendelea na mafanikiyo yaliyokwisha patikana hadi leo.