wakazi wa Kivu Kaskazini wakimbia vita wakati majeshi ya Umoja wa Mataifa yanza kushambulia vituo vya waasi wa M23.
Matokeo ya vita mashariki ya DRC
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa DRC Rodgers Meece(kushoto) Gavana Kivu Kaskazini Julien Paluku
Kifaru cha MONUSCO cha piga doria
Wanajeshi wa MONUSCO kwenye kituo cha ukaguzi.
Wapiganaji wa kundi la UPCP katika kambi ya Lubero
wazir wa ulinzi wa Rwanda awasili Goma kwa mazungumzo na waziri mwenzake wa DRC