Ajali ya meli ya Skagit Chumbe, Zanzibar

Muokozi na mwili wa abiria

Zaidi ya watu 100 hawajapatikana baada ya ajali ya meli ya Skagit karibu na kisiwa cha Chumbe. Meli ilikuwa inasafirisha takriban abiria 280 kutoka Dar es Salaam kuelekea Zanzibar kabla ya kuzama