Hali mashariki ya DR Congo

Wakazi wa Kichanga wilaya ya Masissi Kivu Kaskazini wasubiri Gavana Paluku

Watu wa kijiji cha Kichanga, Wilaya ya Masissi wakimsikiliza Gavana Paluku

Kituo cha texi za pikipiki Kichanga wilaya ya Masisi Kivu ya Kaskazini

Gavana Julien Palku akizungumza na waandishi habari baada ya kuwatembelea wakimbizi kijijini Kichanga, wilaya ya Masissi

Gavana Julien Paluku wa Kivu Kaskazini akizungumza na waandishi habari kijijini Kichanga

Wakazi na wakimbizi katika kijiji cha Kichanga masharki ya DRC

Gavana Julien Paluku awatembelea wakimbizi kijijini Kichanga wilaya ya Masissi, na kuoneshwa silaha zilizokamatwa za Bosco Ntaanda