Maandamano na vurugu Zanzibar
Polisi wa kupambana na ghasia wakipiga doria katikia mitaa ya Zanzibar kufuatia ghasia za Jumapili Mai 28 2011
Wanaume wakiandamana kutaka kura ya maoni iitishwe kuamua ikiwa Zanzibar ijiondowe kutoka Muungano. Maandamano yaliitishwa na jumuiya ya Uamsho
Wanawake wakiandamana nyuma ya wanaume kudai kura ya maoni iitishwe kuamua ikiwa Zanzibar ijiondowe kutoka Muungano. Maandamano yaliitishwa na jumuiya ya Uamsho
Kanisa lililotiwa moto wakati wa ghasia za Jumapili Mai 27 2012 huko Zanzibar
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana Jumamosi usiku Mai 26 2012
Wanawake wakiandamana nyuma ya wanaume kudai kura ya maoni iitishwe kuamua ikiwa Zanzibar ijiondowe kutoka Muungano. Maandamano yaliitishwa na jumuiya ya Uamsho