maandamano yalifanyika mjini Dar es Salaam kuitaka serikali kutanzua mara moja mgomo wa madaktari.
Maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari Tanzania
Mabango yaliyobebwa na waandamanaji kuitaka serikali kutanzua mgomo wa madaktari.
Maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari Tanzania
Rais Kikwete akitembelea wagonjwa hospitali kuu ya Muhimbili
Msongamano wa magari ulosababishwa na maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari mjini Dar es Salaam
wagonjwa kwenye hospitali ya Muhimbili wamelazwa chini kutokana na ukosefu wa huduma
wagonjwa walowasilishwa hospitali ya Muhimbili na kulazwa chini kutokana na ukosefu wa huduma kutokana na mgomo wa madaktari