Harakati za uchaguzi za 2011 nchini DRC

Polisi wakilinda msafara wa magari ya Etienne Tshisekedi mjini Kinshasa.

Etienne Tshisekedi akizuiliwa na polisi kuhudhuria mkutano wake wa hadhara mjini Kinshasa

Wanaharakati wa chama cha UDPS walouliwa kwenye makao makuu ya chama Limete, Kinshasa Novemba 27 2011.

Polisi wakikabiliana na Tshisekedi mjini Kinshasa Jumamosi tarehe 26 Novemba kumzuia kufanya mkutano wa hadhara.

Nembo ya chama cha FARDC

Élections 2011 en Kinshasa, RDC