Uharamia katika Bahari ya Hindi
Ramani ya eneo kuu la uharamia kwenye pwani ya Somalia
Polisi na maafisa wa FBI wakimpeleka mtuhumiwa wa uharamia kutoka Somalia anaetajwa kuwa ni Abdiwali Abdiqadir Muse, hadi makao makuu ya FBI New York. Aprili 20, 2009. Muse ni haramia pekee aliyenusurika wakati wa kuokoa meli ya Marekani ya Maersk Alabam
Maharamia wa Kisomali walokamatwa na makomando wa jeshi la majini la Malaysia wakati wa kuokoa tenka ya mafuta kwenye Ghuba ya Aden. 21 Jan 2011
Uharamia katika Bahari ya Hindi
Uharamia katika Bahari ya Hindi
Wanajeshi wa jeshi la kulinda amani Somalia AMOSOM wakilinda eneo la pwani ya Mogadishu.
Tenka ya kusafirisha Kemikali ya MV Theresa VIII ikiwa imetia nanga bandarini Kakinada, India. Ilitekwa nyara na waharamia wa kisomali ikisafirisha mafuta hadi Kenya.
Meli ya Marekani ya Maersk Alabama, ikiondoka bandari ya Mombasa, Kenya Aprili 22, 2009, baada ya kuokolewa na jeshi la majini la Marekani.
Kikosi maalm cha jeshi la majini la Ureno kutoka manwari ya 'Alvares Cabral' wnawakamata maharamia wa Kisomali walojaribu kuteka nyara meli ya uvuvi iliyokuwa inasafiri kwa bendera ya hispania ya 'Ortube Berria' .
Mshauri maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya uharamia Jack Lang,kutoka Ufaransa, (kulia) akimsikiliza mtuhumiwa mmoja wa uharamia anaeshikiliwa katika jela la Shimo la Tewa Mombasa, Kenya, 11 Oct 2010